ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, January 27, 2013

AKINA MAMA WASHINGTON DC WAMUAGA MHE. BALOZI MAAJAR KWA MBWEMBWE

Missy T na kundilake wakiwaongoa watoto huku wakimsindikiza Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar wakati alipokua akiingia ukumbini kwenye sherehe ya kumuaga iliyofanywa na akina mama wa DMV Jumamosi January 26, 2013 Martin's Crosswinds iliyopo Greenbelt, Maryland.
Mhe. Mwanaidi Maajar akiongozana na mumewe Bwn. Shariff Maajar wakiingia kwenye ukumbi wa Martin's Crosswinds kwenye sherehe ya akina mama wa DMV waliyomuandalia maalum kwa ajili ya kumtakia safari njema.
Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar akiongea machache huku akitoa shukrani nyingi kwa akina mama kwa kumuandalia sherehe ya kumuaga.
Mama Kimolo akiongea kwa niaba ya akina mama wa DMV
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania New York Hadji Kassim akisoma shairi maalum kwa Mhe. Balozi Mwananidi Maajar ambalo liliwavutia wengi.
Watoto wa Missy Temeke wakiimba nyimbo za Taifa
Meza ya Mhe. Balozi ikiwa imesimama wakati wa nyimbo za Taifa zilipokua zikiimbwa
Mkuu wa Utawala na Fedha Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Mama Lily Munanka (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Dr. William na mkewe.
Umoja wa akina mama wakiingia ukumbini kwa mbwembwe
Umoja wa akina mama wa DMV wakimzawadia Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar zawadi mbalimbali
kwa picha zaidi bofya read more


2 comments:

Anonymous said...

Omg kwelI hakuna mtu mwembamba...is that magge...amenenepa and grow to a beautiful woman...umependeza sana mdogo wangu..keep smilling and focus on life.

All in all watu walipendeza inaonekana ulikuwa class..

Mungu ibariki Tanzania

Anonymous said...

Classy party and class people,picha zinajieleza.