ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 24, 2013

CHAMA CHA WAAJIRI TANZANIA (ATE), CHAMA CHA WABUNGE WANAWAKE WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WATOA MAONI YAO JUU YA KATIBA MPYA


Mwenyekiti wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), Bw. Almas Maige akizungumza na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano baina yao uliofanyika leo ambapo ATE iliwasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya.
Katibu wa Chama cha Wabunge Wanawake wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye piani Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Angelllah Kairuki akiwalisha maoni ya Chama hicho kuhusu Katiba Mpya kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba wakati wa mkutano wao uliofanyika leo katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bw. Omari Sheha Mussa akizungumza na ujumbe kutoka Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) katika mkutano baina yao uliofanyika leo katika ofisi zaTume hiyo, Jijini Dar es Salaam, ambapo ATE iliwasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya.
(Picha na Tume ya Mabadiliko ya Katiba)

No comments: