Mshindi huyo wa Tuzo tano za Kili Music awads kwa miaka ya nyuma ameiambia Sports Lady leo kwamba baada ya kimya cha muda mrefu mweaka huu anatarajia kutoa albamu yake ya tatu.
Mkali huyo ndiye aliyemuibua muimbaji nyota wa Twanga Pepeta, Luiza Mbutu kupitia kibao chake cha 'Tumetoka Mahenge', pia alipata kutamba na singo ya Mapendo Karungi.
No comments:
Post a Comment