Hapo upande mmoja unapitika na magari na mwingine unatumiwa na watembea kwa miguu, Ujenzi unaendelea
Boda boda nao kama kawaida wanabanana mumo kwa umo daladala nazo kama kawaida sheria mkononi wana kula board tu bora safari.
Mkeka huo unaweza kujua ni wapi hapo pande mbili za barabara kitu powder hadi kuoana shida vumbi hilo pata picha ukifika nyumbani maji yamekatika utalala hivyo hivyo home sweet home.
Tuendelee kujipata taswira
safari ni safari ujenzi unaendelea
Hapa ni Manzese Tip Top connection watu wako kwenye daraja wanakula upepo na kufanya biashara zao chini watu na magari yanapita maisha yanaendelea.
Barabara zinajengwa kwa kazi tunatumaini zita dumu na kutunzwa vizuri
Barabara ya ubungo Maziwa kutokea Mandela Road kutoka na vumbi kunge kuwa na utaratibu wa kumwaga maji kwani wakazi wa maheneo haya hasa watoto vumbi hili ni shida kwao
kiyuo cha boda boda kama ukiona feleni ni shida unadaka kito two wheels safari inaendelea
Jamaa maisha wamekuwa kidogo mazuri kajenga nyumba yake safari ya kuamia makao mapya ndo hiyo kero ya kupanga na mama mwenye nyumba imekwisha.
No comments:
Post a Comment