Jumatatu January 14, 2013 tutawaletea sehemu ya pili ya gwiji la ukung'utaji wa kitaa la kati kutoka DRC, Lokassa ya Mbongo Jina alilopewa naTabu Ley Rochereau wakati akiwa na miaka 16, kaika sehemu hii ya pili Lokassa ataelezea mkasa uliomkuta yeye na wanamuziki wengine wanne baada ya kumkibia Tabu Ley walivyotaabika nchini Ivory Coast kwa kushinda pwani na usiku kulala sokoni, Je anatoa ushauri gani kwa wanamuziki wanaochipukia, Je katika zile nyimbo za Tanzania alizopiga vipande vipande zilizojulikana kama "NAIROBI NIGHT", pesa ya kuzitumia zile nyimbo alilipwa nani ? pamoja na mambo mengine mengi USIKOSE KUMSIKILIZA
No comments:
Post a Comment