Advertisements

Wednesday, January 16, 2013

MICHEZO NI AFYA

Usije kujiona umeshapita wakati wa kufanya mazoezi bado muda na wakati unakuruhusu kujiweka  mwili kiafya ukiona picha hii unaweza kugundua kuwa wakati unao na mazoezi hayanana umri

1 comment:

Anonymous said...

nimependa sana picha hii niambiye mkuu wapi hili tukio limetokea tafadhali.
wakina mama zetu wa kiafrica ni moto si mchezo bwana mungu awabariki na heko kubwa nawapa si mnaona wenyewe kabumbu si wanaume tuu