Advertisements

Thursday, January 17, 2013

Nieleze - Yard BASH



Hii inaonyesha ni kiasi gani mziki wa kitanzania unakua kwa kiasi kikubwa, ukikaa chini ukasiliza track kama hii kwa makini utaona ni jinsi gani tunapanuka kimuziki sasa na kwenda kupiga muziki ambao unatambulika duniani. "Nieleze" iliyopigwa na kijana wa kitanzania ajulikanae kama Yard BASH, na kutayarishwa na producer ambae ana historian a mziki wa kitanzania JC (Jesus Christ) anaefanya shughuli zake za mziki MZUKA Records iliyopo maeneo ya Bahari Beach Dar Es Salaam Tanzania.“Nieleze” imepigwa kwa miondoko inayojulikana kama "SOUL" ambao mziki huu unapigwa na wakali wa muziki hapa duniani kama Musiq Soul Child, D'Angelo, BabyFace pamoja na wakina dada kama Alicia Keys na Marehemu AMY WINEHOUSE. Mziki huu wa aina "Soul" ni maarufu sana duniani na una wapenzi wengi sana ila tanzania tulikua tumepitwa kidogo ila sasa naona umeanza kugundulika na watanzania wameamua kuonyesha dhamira ya kuingiza vipaji vyao katika style hii.

SOUL ni aina ya muziki ambao umetokana na "Gospel" pamoja na "Rhythm & Blues" (R&B), ambapo SOUL katika society ya BLACK AMERICANS inasimama kama niPride na Culture yao. Katika miaka ya 1940 mpaka miaka ya 50, Gospel Groups mara chache sana zilikua zinajitambulisha kama aina yao ya muziki ni SOUL. Miaka ya 1960 ndipo ulioanza kusikika huku watu wengine wakiuongelea kama Soul Jazz, maana yake ni Jazz inayosukumwa na maadili ya mapenzi ya kiroho "Jazz Soul" ambapo waimbaji na wataarishaji muziki katika sehemu ambazo wanaishi watu weusi wakaanza kutumia techniques za Gospel Music na ndipo mtindo utambulikanao kama "Soul Music" Ulizaliwa mnamo mwaka 1961.

Enjoy "Nieleze" - Yard BASH

Verse 1
Amani siiyoni mbele yangu eeehh,…. Nahisi nimemkosea mungu wanguu …..
Ulinitoa gizani ukaniweka mwangani….. Nika enjoy mapenzi na kusahau ya zamani…..
Sasa kuna nini…. hii Leoooooo…..
Chorus 1
Ohoooooooo hoooo!! ……… Baby Nielezeee…..!!
Ohoooooooo hoooo!!......... hivii mekuajeee …..!! ….. x2
Verse 2
Mimi ni mwepesi kukubali kosa…… Endapo nimekosa……..
Na kama nimekosa……..  niambieeeeee………………
Natamani urudi …… ka zamani…… tuishi………..
Natamani Urudi …..ka zamani……. tuishi………..
Chorus 2
Ohoooooooo hoooo!! ……… Baby Nielezeee…..!!
Ohoooooooo hoooo!!......... hivii mekuajeee …..!! ....... x2
Bridge.
Hebu Funguka unambie yote yalo moyoni mwakoo…… x2
Chorus 3
Ohoooooooo hoooo!! ……… Baby Nielezeee…..!!
Ohoooooooo hoooo!!......... hivii mekuajeee …..!! …………. x2

No comments: