ANGALIA LIVE NEWS

Monday, January 21, 2013

OBAMA INAUGURATION PARTY PASHION LOUNGE

Dj Luke akiwarusha wadau waliofika Pashion Lounge Wheaton, Silver Spring siku ya Jumapili January 20, 2013 kusherehekea kuapishwa kwa Rais Barack Obama
Wadau wa kila hepe na na mishumaa ulikua usiku wa nyimbo zilizopendwa enzi hizo
Mzee wa Vijimambo Ebra Ny kwenye ukodak moment
Makamu wa Rais Jumuiya ya Watanzania DMV akiwa na familia yake
Sospeter Pweezy (kushoto) katika picha ya pamoja na mdau
Madj wa Mishumaa kutoka Atlanta, Georgia (GA) wakifayna viyu vyao
Mtunza fedha Jumuiya DMV, Bwn. Malasy akiwa na mama mwenye nyumba wake.
wadau wakipata picha ya pamoja
wadau katika ukodak moment
walimbwende wakipata picha yapamoja
kwa picha zaidi bofya read more

1 comment:

Anonymous said...

jamani ilikuwa nzuriii nimemkubaki ZAY B uko juu wakwetuuu,lol..wakuwacheee aminiaa..mwidiweee..