Wadau kutoka kila kona wakila hepi Nectar Lounge iliyopo Downtown Silver Spring kusherehekea kuapishwa kwa Rais Barack Obama siku ya Jumamosi January 19, 2013
Wasupuu wakipata picha ya pamoja
Wadau wakipata ukodak moment
Dj Jaymoh kutoka Baltimore akipata picha ya pamoja na mmoja ya mdau
Wadau waliojumuika kusherehekea kuapishwa jwa Rais Barack Obama wakila hepi
Poromota DMK (shoto) katika picha ya pamoaja na Adam NY
kwa picha zaidi bofta read more
No comments:
Post a Comment