Advertisements

Thursday, January 3, 2013

PITA PITA YA VIJIMAMBO NEW YEAR EVE NEW YORK

Siku ya mkesha wa mwaka mpya na pita pita ya vijimambo New York City, ni moja ya chamla chamla za kuukaribisha mwaka mpya wadada wa New York na kaka zao walijikusanya kwenye house party na kupop champagne na kupata music maridadi kuoka kwa Dj Bilal usiku huo. Hapa ni dada Adela akiwa ameshika champagne kuashiria furaha ya kuwa pamoja na marafiki katika mkesha huo wa kuukaribisha mwaka mpya.

Akidada wa New York wakipata ukodak usiku huo kama unavyoona full kupendeza.

Brooklyn in house 4 sisters wakionesha swag zao mbele ya ukodaki wa vijimambo

Ny akipata ukodak na dada zake wapendwa usiku huo wa mkesha wa mwaka mpya

New York Brothers wakiwa na kofia zao wakifurahia kuoona mwaka

Dada Adela baada ya kufungua champagne

Hapa baada ya champagne kufunguliwa watu wakijimwaga na music chini ya Dj Bilal 

Ukodak wa pamoja kwa picha zaidi bofya read more 












No comments: