Advertisements

Thursday, January 3, 2013

POCHI IMESAHAULIWA SIKU YA MKESHA DMV

Kuna mtu alisahau pochi yake siku ya sherehe ya mwaka mpya iliyoandaliwa na Jumuiya ya Watanzania DMV kwa kushirikiana na Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani. Kama ni wewe tafadhali wasiliana na (301) 646-5683 Asante

No comments: