No
|
MUDA
|
TUKIO
|
MHUSIKA
|
1
|
1:00-……..
|
Waombolezaji
kuwasili nyumbani kwa marehemu
|
Kamati
yya mapokezi na Itifaki
|
2
|
2:00-2:45
|
Kisomo
cha wanaume
|
Wanafamilia
|
3
|
2:45-3:30
|
Mwili
wa marehemu kuwasili nyumbani
|
Kamati
ya mazishi na familia.
|
4
|
3:30-
5:00
|
Salamu
za pole kutoka kwa viongozi, ndg na jamaa
|
Kamati
ya Itifaki
|
5
|
5:00-
6:00
|
Sadaka
ya chakula
|
Wote
|
6
|
6:00-6:15
|
Nasaha
toka kwa viongozi wa dini
|
Mashekhe
|
7
|
6:15
|
Mwili
kuondoka nyumbani kuelekea msikitini
|
Kamati ya itifaki, usafiri na mazishi.
|
8
|
6:15-6:30
|
Kisomo
cha kinamama
|
Kinamama
|
9
|
6:30
– 7:30
|
Mwili
kuwasili msikitini na swala ya kuswalia maiti
|
Kamati
ya mazishi na wahusika wa msikiti
|
10
|
7:30……
|
Mazishi
|
Shekhe
na watu wote.
|
11
|
Shukrani za mazishi na mwisho.
|
Familia
na viongozi wa dini
|
Imetolewa na kamati ya mazishi.
Ahsanteni kwa ushirikiano
2 comments:
nimesoam taarifa hii yani jamani siamini lakin najua ndo njia yetu hii wote tutaipita hakuna atakaye ikwepa duniani tupo njiani tunapita hatujui lini safari yetu itafika, rahman amsamehe madhambi yake na apeleke peponi pemaa amin.
nilikuwa nampenda sana actor huyu wa nyumbani jamani binadamu hatu kitu tusimsahau mola wetu aliyetuumba na tuishi kwa maisha anayo yataka yeye amin.
natoa pole kwa ndugu na jamaa na marafiki na majirani wa merehemu kweli tunao uchungu ametutoka lakin ndo siku yake imefika Allah kamhitaji. rahman atupe mola wa subira amin.
dj luke naomba kama itawezekana weka account number tutume pesa japo kiidogo kwa familia ya marehemu na pia number au contact zozote tuweze kuwasiliana na familia ya marehemu kama nilivyosema nilikuwa anapenda sana anavyo actor alikuwa msani bora kwangu mimi.
shabiki wa marehemu kuziangalia movie zake daima New york
jamani naipa pole familia ya Sajuki,wastara Mungu akupe Moyo wakuweza kusonga mbele kwani duniani tunapita wote njia yetu ni moja<
Mungu ametoa na Mungu ametwaa jina la bwana lihimidiwe daima.amen
Post a Comment