ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, January 12, 2013

PITA PITA YA VIJIMAMBO UNION CITY, NJ

Nembo hii ya  kampuni ya T.E.S ni Alama ya kashiria mashine hizi za kutengeneza sausage zimetengenezwa  na kufungwa na Temba Engineering Service. Hapa ilikuwa huko Union City, NJ. Machine hizi zimefungwa miaka 18 iliyopita na hadi sasa zinafanya kazi.T.E.S team wameitwa tena kuifanyia renovation ili ziwe na mwonekano mpya.
Machine hiyo  inavyoonekana kwa ndani
C.E.O wa Campuni Mr Temba akikagua machine ili kujua aanzie wapi kuifanyia kazi mashine hiyo.
 Kwa picha zaidi bofya read more
Machine bado inafanya kazi ingawa kwa muonekano inaonekana chakavu
Technician wa T.E.S akipata vipimo vya mlango wa moja ya machine hizo baada ya kupata maelezo ya nini cha kufanya kutoka kwa CEO.
Vipimo vinaendelea ili kazi ianze mara moja
Hii  ni Air Cleaning system inayochuja moshi unaotoka nje uwe safi bila kuchafua hali ya hewa (air pollution)
Cleaning systems air pollution.
Wafanyakazi wa kampuni hiyo wakiandaa sausage kabla ya kuziweka kwenye machine. Wafanyakazi wakuu ni wasipanish na warussia  sijawahi kuona mtu mweusi kufanya kazi hii.
Hapa nyama ikiandaliwa kwa kutolewa mafuta na kubakia steak kabla ya kusagwa.
C.E.O wa T.E.S akipata ukodak na Maneger wa kiwanda baada ya kukukamilika zoezi zima la uanzaji wa kazi hiyo.

No comments: