Heri ya mwaka mpya 2013 watanzania wenzangu ,tunauanza mwa huu mpya kwa msimamo mmoja wa kukuza maendeleo ya michezo na sanaa nchini kwetu Tanzania,
Watanzania tuna uwezo mwingi wa kufanya mambo makubwa katika medani za kimataifa, kama vile muziki ,michezo na mambo mbalimbali, ila hatuna ushirikiano ,vilevile pia kudharauliana kwingi, kitu anchofanya mzawa watu hukibeza na kikidharau badala ya kukisapoti. Hivi nani anajua kama kuna Mtanzania toka Zanzibar alikuja Marekani akiwa na umri wa miaka 15 anaitwa FRED MERCRY https://www.youtube.com/watch? v=xdCrZfTkG1c&feature=youtube_ gdata_player,mwanamuziki ambaye nyimbo zake mpaka leo hii zinatumika katika michezo mikubwa kama vile Baskett ,football hockey na mingeneyo hapa nchini Marekani katika utangulizi kabla ya mchezo kuanza
Sio huyo tu tuna watu mbali mbali toka nchini ambao wameonyesha vipaji nje ya nchi kama akina Filbert Bayi ,John Bura, Nyambui katika mbio Rashid Matumla ngumi, mpira Peter Tino ,Dilunga , MOGELLA Pondamalli na wengineo walitufikisha katika fainali za kombe la Afrika miaka ya 80 mwingine mwanzilishi wa Bongo flavaDandu muziki wake unapigwa nje mpaka leo.Sasa kwanini tuishie hapo wakati uwezo tunao, ila ni sababu hatuna ushirikiano.Hatuthamini vitu vya nyumbani tumeupa nafasi utamaduni wa kigeni badala wa nyumbani.
Mfano mzuri mimi ni mwafrika wa kwanza ambaye nguo zangu zinavaliwa Dunia nzima , lakini watanzania wenzangu badala ya kuniunga mkono ndio kwanza wanabeza na kudharau nguo, gani hizo kisa Kajumulo katengeneza. Sasa sio wakati wa kuilaumu serikali eti haitusaidii badala ya kujilaumu wenyewe kwa roho zetu za ubinafsi.
Tunasema serikali imetutelekeza vijana, huku tukitaka wazee wote wang'atuke kwenye uongozi je? ni kweli unafikiri tutafika kwa mtindo huu wa vijana kuinga tamaduni za kigeni si tutashia Tanzania kuwa Taifa la kigeni. hivi inakuwaje wasanii vijana wa nyumbani tunashindwa hata kuuzaata hata nakala 200 tu za CD nje ya nchi Wakati huo tunatumia pesa za kigeni kununulia vifaa hivyo vya muziki wakati vinatupotezea hela haviingizi kutoka nje.
Ushauri wangu nikiwa kama mdau mkubwa wa michezo na sanaa nchini kwetu Tanzania, nchi yetu haiwezi kuendelea kimichezo na utamaduni bila ya kuwa na ushirikiano mkubwa baina yetu.Huwezi kumuona Mwingereza kavaa jezi ya Simba ama Yanga au kuona Mwamerika anasikiiza muziki wa Diamond lakini nyumbani kila kijana anatamani awe mwamerika .je vijana mna haki ya kulalamika serikali umewatupa?
Siongei hivi kama mwanasiasa ila nina uchungu na maendeleo ya nchi yangu .Nipo huku ugenini kwa ajili ya maslahi ya nchi yangu,sijaiba wala kufanya biashara haramu, ninachotaka ni kuonyesha kwamba kumbe kuna watanzania ambao wanaweza kufanya biashara nje ya nchi na wakakubalika.
Hizo ni salamu zangu kwa mwaka huu 2013 tupige harambee ya michezo na sanaa ili mataifa mengine yatujue ,mpaka sasa nimeshauza zaidi ya milioni 20 nguo za kajumulo lakini ni watanzania wachache wanaunga mkono je Addidas, Nike , Puma na Kappa wasingesaidia nchi zao kimichezo wangefika wapi ?
HIVYO NAOMBA USHIRIKIANO... HERI YA MWAKA MPYA
7 comments:
Du! brother hiyo habari hapo chini ya Fred Mercury nadhani inamapungufu mengi sana, kwa ufupitu Fred Mercury hakuwa raia wa Tanzania japo alizaliwa Zanzibar na baadaye kuhamia kwao India,Pia baada ya hapo alihamia England na si USA, ambako ndiko alikokuwa akiishi na kufanya shughuri zake za Muziki akiwa na kundi lake liitwalo QUEEN, nimepekua na nimekutana na hii,
Freddie Mercury (born Farrokh Bulsara; Gujarati: ફરોખ બલ્સારા, Pharōkh Balsārā); 5 September 1946 – 24 November 1991)[2][3] was a British musician, singer and songwriter, best known as the lead vocalist and lyricist of the rock band Queen. As a performer, he was known for his flamboyant stage persona and powerful vocals over a four-octave range.[4][5][6] As a songwriter, Mercury composed many hits for Queen, including "Bohemian Rhapsody", "Killer Queen", "Somebody to Love", "Don't Stop Me Now", "Crazy Little Thing Called Love" and "We Are the Champions". In addition to his work with Queen, he led a solo career, and also occasionally served as a producer and guest musician (piano or vocals) for other artists. He died of bronchopneumonia brought on by AIDS on 24 November 1991, only one day after publicly acknowledging he had the disease.
Mercury was a Parsi born in Zanzibar and grew up there and in India until his mid-teens. He has been referred to as "Britain's first Asian rock star".[7] In 2002, Mercury was placed at number 58 in the BBC's poll of the 100 Greatest Britons, in 2006, Time Asia named him one of the most influential Asian heroes of the past 60 years,[8] and he continues to be voted one of the greatest singers in the history of popular music. In 2005, a poll organised by Blender and MTV2 saw Mercury voted the greatest male singer of all time.[9] In 2008, Rolling Stone editors ranked him number 18 on their list of the 100 greatest singers of all time.[6] In 2009, a Classic Rock poll saw him voted the greatest rock singer of all time.[10] Allmusic has characterised Mercury as "one of rock's greatest all-time entertainers", who possessed "one of the greatest voices in all of music".[11]

DOGO UPEKUZI WAKO BADO UNAMAPUNGUFU
MR. KAJUMULO YUKO SAHIHI KABISAA
INGIA HAPO UJIFUNZE
http://www.imdb.com/name/nm0006198/
JINA LAKE LA KUZALIWA NI Farrokh Bulsara JINA LA MUZIKI NDIO FREDIE MERCURY
ALIBADILI URAI WAKE KUWA WA UINGEREZA
ELEWA MAELEZO YA KAJUMULO KABLA YA KUCHAFUA HEWA

MR. KAJUMULO YUKO SAHIHI KABISAA (YALE ANAYO YAKATAA NDIO ULICHO FANYA----- LAZIMA UKUBALI MCHANGO WA KAJUMULO KUKUFAHAMISHA HUYO MWANAMUZIKI...... MAANA HUKUMFAHAMU MPAKA UMEMUONA KWENYE BLOG HII
HALAFU UNAJIFANYA MJUAJI WAKATI MTANDAO ULIOTOA HABARI ZAKO NI WIKIPEDIA AMBAO MTUYEYOTE ANAWEZA KUANDIKA CHOCHOTE HAUNA KIZUIZI)
KWA UFUPI BWANA FREDIE MERCURY ANAJIVUNIA KUZALIWA ZANZIBAR NDIO MAANA AMEANDIKA KWENYE MTANDAO WAKE WAKATI WA UHAI WAKE
KIJANA USIKURUPUKE
INGIA HAPO UJIFUNZE
http://www.imdb.com/name/nm0006198/
JINA LAKE LA KUZALIWA NI Farrokh Bulsara JINA LA MUZIKI NDIO FREDIE MERCURY
ALIBADILI URAI WAKE KUWA WA UINGEREZA
ELEWA MAELEZO YA KAJUMULO KABLA YA KUCHAFUA HEWA
MDAU
DOGO UPEKUZI WAKO BADO UNAMAPUNGUFU
MR. KAJUMULO YUKO SAHIHI KABISAA
INGIA HAPO UJIFUNZE
http://www.imdb.com/name/nm0006198/
JINA LAKE LA KUZALIWA NI Farrokh Bulsara JINA LA MUZIKI NDIO FREDIE MERCURY
ANAJIVUNIA KUZALIWA ZANZIBAR NDIO MAANA ALIWEKA KWENYE MAELEZO YAKE KWENYE MTANDAO
KWA UFUPI MAELEZO YA KAJUMULO YANAJITOSHELEZA SASA HAYA YA KWAKO SIJUI UNAPINGA NINI

Post a Comment