Advertisements

Monday, January 14, 2013

UKITAKA KUTEMBELEA NEW YORK KWA HOLIDAY AU SHUGHULI YEYOTE UNAWEZA KUPATA SEHEMU YA KUISHI KWA GHARAMA NAFUU WEWE NA FAMILIA YAKO AU MARAFIKI

Nyumba inavyoonekana kwa nje, hawa ni moja wa wageni kutoka Tanzania waliishi hapa kwa muda wa wiki 3. Nyumba inavyumba vitatu vya kulala second floor na chini kuna living room na jiko. Kwa wageni wanaotaka kutembelea New York na kukaa kuanzia wiki hii inawahusu na hasa wale wa (Internship).
 Kwa mawasiliano zaidi wasiliana kwa Email.ibraradyn@gmail.com Ny Ebra.
 Ngazi za kuelekea 2nd floor ambo ndiko kuna vyumba vya kulala
Wageni wakiwa living room wakipata ukodak
Mgeni akipata ukodak
Wageni wakiwa nje ya nyumba 
Hapa ni riving room
Chumba cha kulala
Ni moja kati ya vyumba vya kulala 2nd floor.

No comments: