Advertisements

Monday, January 21, 2013

Wakazi wa Reading Wateleza

 Baada ya barafu nyingi kuanguka na kuleta tafrani nchini Uingereza mapema wikiend iliyopita, baadhi ya wakazi wa mji wa Reading badala ya kuendela kulalamikia usumbufu uliotokana na kusitishwa kwa huduma nyeti kama usafiri wa anga, treni, barabara, kufungwa kwa shule, maduka n.k wao  hawakulaza damu waliamua kuichangamkia fursa ambayo inatokana na kuanguka kwa barafu.

Fursa hii sio nyingine bali ya kufurahia mchezo wa kuteleza (Bobsleighing) ambao hufanyika kwenye nchi za baridi kama Norway, Canada, Urusi n.k.

Familia mbalimbali zilijitokeza ili kufurahia kwa pamoja.

Asanteni,

Urban Pulse Creative
Kwa picha zaidi bofya read more

No comments: