ANGALIA LIVE NEWS

Monday, February 11, 2013

Babu Sikare "Albino Fulani" - Amazing Albino Story

Babu Sikare "Albino Fulani" ni moja ya majina ambayo utakuwa umewahi kuyasikia katika masikio yako, aliwahi kufanya muziki lakini pia ni Founder wa Afrobino, organization inayojishughulisha na kusaidia walemavu wa ngozi[Albinism]...

Hii ni story fupi kuhusu maisha yake na pia kuhusu Mtetwa, msichana aliyepata matatizo ya ngozi yaliyopelekea kifo chake.

No comments: