Sunday, February 10, 2013

BABY SHOWER YA EKAELI NNKO, SILVER SPRING, MD

Baby shower ya Ekaeli kwa jina lingine Mammi iliyofanyika Jumamosi Feb 9, 2013 Silver Spring, Maryland na ndugu, jamaa na marafiki kujumuika pamoja katika kufanikisha Baby shower yake.
Mammi katika pozi kwenye Baby shower yake iliyofanyika Silver Spring, Maryland Jumamosi Feb 9, 2013.
Juu na chini ni Mammi akiwa na mpambe wake, Mariam a.k.a. Ashanti 
Mammi akikata keki
Mariam akimlisha keki Mammi
Mammi akimlisha keki Mariam
Mammi na mpambe wake wakipata chakula
Mammi akiongea machache kuwashukuru wote waliofika na kujumuika pamoja na hatimae kufanikisha baby shower yake.
Aunty Grace ndie aliyekua msherehehaji wa Baby shower hiyo
kwa picha zaidi bofya read more

Mchungaji Stela Swai akitoa neno la Mungu na kuombea chakula
Mama Mkama akiwashukuru wageni wote waliofika
Juu na chini wageni wakitia saini picha ya Mammi






No comments: