Sunday, February 10, 2013

GABBY DOUGLAS AHUDHURIA MAONYESHO YA MAGARI WASHINGTON, DC


 Picha juu na chini ni Gabby Douglas (Jacket jeusi) mshindi wa Olympic medali ya dhahabu kwenye Gymnast kwenye mashindano yaliyofanyikia Uingereza Mwaka 2012, akipata picha na kuwatilia saini mashabiki wake waliofika kwenye maonyesho ya magari yanayofanyika Washington, DC. Gabby Douglas aliweka rekodi yakua Mmarekani mweusi wa pili kushinda medali ya dhahabu katika mchezo huo.

No comments: