Sunday, February 10, 2013

WANACHAMA HAI WA JUMUIYA DMV WALA BATA PEKE YAO

Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV, Bwn. Idd Sandaly akiongea machache kwenye chakula cha jioni cha Wanachama hai wa Jumuiya kilichofanyika College Park, Maryland Jumamosi Feb 9, 2013.
Makamu wa Rais Jumuiya DMV Bwn. Ray Abraham akiongea machache
Katibu wa Jumuiya ya Watanzania DMV, Bwn Amos Cherehani naye akiongea machache.
Muweka Hazina wa Jumuiya DMV Bwn. Malasy akichangia jambo.
Mayor Mlima naye akiongea machache
Mama Majura hakua nyuma katika kuchangia hoja.
Bwn. Jacob Kinyemi akichangia jambo.
Teddy akichangia jambo.
Jumuiya ya kesho katika picha ya pamoja.
Wanachama hai kwenye Jumuiya ya Watanzania DMV wakipata picha ya pamoja na viongozi 
wanachama hai wa Jumuiya ya Watanzania DMV wakiendelea kula bata la peke yao.
kwa picha zaidi bofya raed more

2 comments:

Anonymous said...

Hongereni sana

Anonymous said...

good job...but mnataka kusema DMV yote wanachama ndo hawa tu? come on people