Friday, February 8, 2013

Goldie Kutengeneza Album Itakayogusa Bara La Africa

Mwanamuziki kutoka Nigeria, Goldie Harvey famously known as "Goldie"anataraji kutengeneza album ambayo itagusa kila kona ya Africa. Goldie ambae pia alikuwa mshiriki wa shindano la Big Brother Africa la mwaka jana ameyasema hayo katika interview aliyofanya na MTVBase Africa hivi karibuni.

No comments: