Thursday, February 21, 2013

HAPA NA PALE MARGARET MAMA ALIE OLEWA NA NYUKI ANA SEMA NYUKI HAO{ MAKES SEX GREAT}

Margaret ni mama mwenye umri wa miaka 53 mwenyeji wa Kentucky anapenda kujiumisha nyuki. Anasema mara kwa mara mwanzo alivyoanza alikuwa anajiumisha nyuki mara moja kwa siku sehemu ya kwenye hips. Na kadri siku zilivyo zidi alikuwa anagundua sehemu zingine zinazo mpa raha zaidi yani { makes sex great} akifanya hivyo. Kwasasa ana jiumisha nyuki zaidi ya mara 15 na 20 kwa siku kwenye hips yake ya kushoto sehemu zingine za mwili anazo penda kufanya hivyo ni kwenye elbows, finger, ankle, forehead, na sehemu anayo enjoy zaidi ni kwenye poa. Sababu iliyosababisha kupenda mchezo huo ni ku relieve her arthritis pain na baada ya hapo imekuwa mazowea. Na sasa ameamua kufuga nyuki hao nyuma ya nyumba yake hili aweze kufurahi na kufanya maisha yake kuwa yenye furaha zaidi.
Hapa Margaret akigusa pua yake na kusema kuwa anasikia raha zaidi akijiumisha nyuki hapo puani.


Margaret akionyesha jinsi anavyo washika nyuki hao na kuwalengesha sindano yao kisawa sawa kuelekeza sehem usika anayosikia hamu ya kujidungisha sindano ya nyuki huyo.
Hapa akijidunga kwenye mkono wake hili kupata raha yake, na ufanya hivi mala 15 hadi 20 kwa siku.
Unlikely habit: Margaret started stinging herself to relieve arthritis pain over a decade ago
Margaret's husband, JD, admits he is concerned about his wife's dependence on bee stings, though it does not surprise him.

'She's always had kind of a taste for looking at the odd side of things,' he says. 'At this point now, with 15 stings a day, that's when I've started to get really concerned about this.' 
In the episode of My Strange Addiction, a doctor warns Margaret that her next sting could be fatal as her constant use could cause an allergy to develop.
Steady supply: Margaret uses bees from her hives in her back garden

1 comment:

Anonymous said...

Good blog but you need to proof read. Kiswahili kinachotumika si fasaha...mala kwa mala.