Thursday, February 14, 2013

HAPPY VALENTINE

Stephano & Achotto
Mpenzi wangu, mzazi wa wanangu leo tunasherehekea siku ya wapendanao kama mke na mume, wewe ndio waridi wa moyo wangu, na waziri mkuu wa maisha yangu nikikumbuka siku hii ulipoamua kuishi na mimi kama mke na mume moyo wangu huzidiwa na penzi lako najiona ni mwenye bahati kuliko mtu yeyote hapa Duniani ninakushukuru mpenzi wangu, barafu ya moyo wangu Happy Valentine My True Love

No comments: