Thursday, February 14, 2013

HAPPY VALENTINE

Mr & Mrs Ameir
La Aziz, kipenzi na pumzi yangu, mzazi wa wanangu, kila niamkapo huishikilia picha yetu na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa zawadi ya pendo lako  mapenzi unayonipa ndio kama tumeanza jana kusema ukweli kila siku ya maisha yangu, nakuwaza wewe niendapo kazini natamani mida iende haraka niweze kurudi nyumbani tuwe pamoja bila wewe maisha yangu ni sawa na nyumba iliyokosa fenicha nakupenda mpenzi wangu, sukari ya moyo wangu nakutakia Kheri ya Siku ya Wapendanao

No comments: