Thursday, February 14, 2013

HAPPY VALENTINE

Mallya na mdhamini wa pendo lake
Kipenzi changu, mzazi na mlezi wa wanangu, wanasema mapenzi ni mabonde na milima lakini kwako habibi,mapenzi yako yako unayonipa daima yako level kwako katu sibanduki daima tumekua kama watoto mapacha, Happy Valentine mwandani wangu.

No comments: