Jiji hili la Dar-Es-Salaama lina mambo mengi walio mikoani wanapenda sana kufika hapa. Kwa nini kutokana na sifa wanazozisikia kutoka kwa watu walio wahi kufika ndani ya jiji hili. Kuna sifa za kuvutia na sifa za kukutisha pia. Lakini yote hayo ni juu ya michakato ya ki maisha ya watu wanavyojitafutia mkate wa kila siku. Kwaiyo ukiwa mgeni ndani ya jiji hili utapitia misuko suko ya hapa na pale hili mradi tu na wewe upate cha kusimulia. Hii ndiyo bongo Dar-Es-Salaama licha ya serikali kulipereke bunge Dodoma lakini bado serikali hiyo imejikita hapa. Wabunge wata enda mikoani kwa wapiga kura wao lakini wakipata tu wanacho kitaka wanarudi Dar-Es-Salaama na kula bata waki acha wapiga kura wao wana kosa uduma muhimu. Utawezaje kujua matatizo ya wapiga kula wako wakati mbuge anaishi hapa?. Acheni iitwe bongo meeeeeeeeen mimi mwenyewe naipeda bongo hata wewe pia unaipenda...

No comments:
Post a Comment