ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, February 17, 2013

HIZI NDO PICHA ZA OFISI YA WEMA SEPETU IITWAYO "ENDLESS FAME FILMS

Miss Tanzania wa zamani na muigizaji wa filamu, Wema Sepetu ameonesha picha za kwanza za ofisi ya kampuni yake aliyoifungua, Endless Fame Films. Kampuni hiyo inatarajia kuzinduliwa hivi karibuni. 
Tazama picha hizi zinazoonesha kona mbalimbali za ofisi hiyo ya nguvu. Hongera sana Wema.
Washing room
Wema ameandika: Managing director pale kati…. my lounge.
Ofisi ya EFF
Meza ya editor
Kuelekea EFF
Ofisi ya sekretari wake
Reception
Waiting Lounge
Ofisi ya Wema

1 comment:

Anonymous said...

Hongera sana wema