
Miss Tanzania wa zamani na muigizaji wa filamu, Wema Sepetu ameonesha picha za kwanza za ofisi ya kampuni yake aliyoifungua, Endless Fame Films. Kampuni hiyo inatarajia kuzinduliwa hivi karibuni.
Washing room
Wema ameandika: Managing director pale kati…. my lounge.

Ofisi ya EFF

Meza ya editor

Kuelekea EFF
Ofisi ya sekretari wake
Reception
Waiting Lounge

Ofisi ya Wema
1 comment:
Hongera sana wema
Post a Comment