Linex ambae pia anatamba na ngoma zake kama Moyo Wa Subira, MamaHalima, Ngekewa, Aifola na nyingine nyingi amemvalisha pete wakiwa waili tu mchumba wake huyo mweye asili ya Finland anaefahamika kwa jina la Suvi.
Linex amechukua uamuzi wa kufanya kitendo hicho kwa siri kwa sababu ameona haikuwahusu watu wengi wajue maana ni kitu ambacho kinawahusu wao wawili tu.
No comments:
Post a Comment