Huyo mjomba aneyefoka ni mwepesi sana kwa hoja. Anazungumza mno lakini hasemi chochote cha maana. Otherwise, nice idea -just pick folks who can make strong argument not simply shouting.
HUYO KAKA ANAYECHONGA KAMA NYAKANGA ATAKAE KUOZA CHIRIKU WA KIKE. TOKEA HIKI KIPINDI KIANZE KAONGEA MANENO LAKI MOJA ISHIRINI NA TISA ELFU MIAMBILI NA MOJA NA NUSU. POINTI NI MANENO TISINI TUU. MENGINE YOTE VEPA YAANI PUMBA TUPU KUANZIA KIPINDI CHA KWANZA MPAKA HIKI, PLEASE MTOENI WEKA MTU MWENYE BUSARA HESMA NA HEKIMA ZAKE KAMA MIMI NA WENGINEO WENGI TUU HAPA MJINI. SIO LAZIMA TUJE ATA KWA NJIA YA SIMU TUSHIRIKISHWE. YAANI WAKATI WOOTE ANANIKELA SANA. KWANZA KISWAHILI CHAKE KAMA CHA KIGENI. KAKA MUONGOZA KIPINDI HONGERA NA HUYO KAKA LANDI HONGERA SANA KWA KUWA NA MOYO WA KUMSIKILIZA HUYO MKAKA MWINGINE KIJANA WA ABAJALO LETE MADA.
mdau holland. say.. ubaya wenu nyie wengine hamsemi ya ukweli... yule 'mnaesema anabwabwaja" ndie anaeanika yenye ukweli, ambao unaitaijika kufaamika' yale, yaliokuemo kwenye "kijiwe cha ughaibuni!
6 comments:
Huyo mjomba aneyefoka ni mwepesi sana kwa hoja. Anazungumza mno lakini hasemi chochote cha maana. Otherwise, nice idea -just pick folks who can make strong argument not simply shouting.
Mi naona ni mzungumzaji mzuri kwani anaweka vichekesho na points nzuri in between. He is a good debater.
Wanaongea mambo ya kweli
guys that's why is calling kijiwe cha ughaibuni,those is jokes.It's doesn't matter if they make a point or no.
HUYO KAKA ANAYECHONGA KAMA NYAKANGA ATAKAE KUOZA CHIRIKU WA KIKE. TOKEA HIKI KIPINDI KIANZE KAONGEA MANENO LAKI MOJA ISHIRINI NA TISA ELFU MIAMBILI NA MOJA NA NUSU. POINTI NI MANENO TISINI TUU. MENGINE YOTE VEPA YAANI PUMBA TUPU KUANZIA KIPINDI CHA KWANZA MPAKA HIKI, PLEASE MTOENI WEKA MTU MWENYE BUSARA HESMA NA HEKIMA ZAKE KAMA MIMI NA WENGINEO WENGI TUU HAPA MJINI. SIO LAZIMA TUJE ATA KWA NJIA YA SIMU TUSHIRIKISHWE. YAANI WAKATI WOOTE ANANIKELA SANA. KWANZA KISWAHILI CHAKE KAMA CHA KIGENI. KAKA MUONGOZA KIPINDI HONGERA NA HUYO KAKA LANDI HONGERA SANA KWA KUWA NA MOYO WA KUMSIKILIZA HUYO MKAKA MWINGINE KIJANA WA ABAJALO LETE MADA.
mdau holland. say..
ubaya wenu nyie wengine hamsemi ya ukweli... yule 'mnaesema anabwabwaja" ndie anaeanika yenye ukweli, ambao unaitaijika kufaamika' yale, yaliokuemo kwenye "kijiwe cha ughaibuni!
Post a Comment