ANGALIA LIVE NEWS

Monday, February 25, 2013

LICHA YA MANENO YA KUWA ANATUMIA NDUMBA LAKINI BADO ANA NG'ARISHA KILA ANAVYO TUA DIAMOND ALIVYO KINUKISHA NA WAFANYAKAZI WA (UMATE MATE) WA CBA BANK

Usiku wa jana nilikua na kibarua kizito cha kuhakikisha Nakonga na Kufurahisaha nyoyo za Wafanyakaziwa CBA BANK na wageni waalikwa, kwenye Party ya CBA BANK iliyofanyika Hyatt Regency, zamani kama Kempinsk Hotel....Kiukweli  namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuweza kunisimamia vyema na Kufanikisha zoezi hilo....Nitakua mchoyo wa Fadhila sana endapo kama nisipoushukuru uongozi mzima wa Bank ya CBA kwa kuweza kunipa fulsa hiyo, vilevile Kampuni ya SCANAD TANZANIA LTD bila kuisahau team yangu nzimaya WASAFI......! haya ndio maneno ya Diamond alyosema 
Emma Platnumz na Ramadhan Mpauka
Rommy Jones On The One n Two.....!!
WASAFIIII.....!!
Weeeeeh....!
Afe kipa afe beki Ushindi LAZIMA!!!
-
Ramadhani Mpauka...!
Kiukweli ilikua ni moja Corporate Event iliyonipa raha sana pindi nikiwa kwenye stage
Maana walikua wako very Active... yaani walikuwa
na mizuka saa zote......!!!
Ni mwendo wa Kwaito tu....
Asantee
Mashetani ya Kimanyema yakaanza sasa.....
Nikukiamsha tu.....!!!
Ni Kumwaga radhi tu....

No comments: