ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, February 26, 2013

London fashion Week 2013 |Urban Pulse|



Salam,
Urban Pulse Creative wakishirikiana na Freddy Macha wanakuletea Video fupi ya London Fashion Week 2013 kwa ajili ya kusaidia kukuza vipaji vya wabunifu wa mavazi na mitindo kutoka sehemu mbalimbali duniani.

Tanzania na Nigeria ni nchi pekee zilizopewa fursa ya kuonyesha ubunifu asilia kwa wabunifu mashuhuri duniani.

Shughuli hii ilidhaminiwa na British Council, Tanzania Board of tourism na kuratibiwa na Ubalozi wetu hapa jijini London.

Asanteni,
Urban Pulse Creative na Freddy Macha

No comments: