Monday, February 4, 2013

MAALIM SEIF AREJEA TOKA INDIA

Juu na chini ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akipokelewa katika uwanja wa ndege wa Zanzibar akitokea nchini India alikokwenda kwa ajili ya ukaguzi wa afya (medical check). Picha kwa niaba ya Salma Said

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake