ANGALIA LIVE NEWS
Monday, February 4, 2013
MAALIM SEIF AREJEA TOKA INDIA
Juu na chini ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akipokelewa katika uwanja wa ndege wa Zanzibar akitokea nchini India alikokwenda kwa ajili ya ukaguzi wa afya (medical check). Picha kwa niaba ya Salma Sai
d
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
View mobile version
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment