ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, February 23, 2013

Memorial Service for Esther Nielsen in Minnesota


Ndugu,Jamaa na Marafiki,
Tunapenda kuwataarifu ya kuwa kutakuwa na Ibada maalum kufuatia Msiba wa dada Esther Nielsen itakayofanyika Jumamosi Feb 23 katika anwani ifuatayo:

Time: 4pm-6pm

Place:New Wine Church,
          810 31st Street
,
          Minneapolis, MN 55408.

Esther ni mama  mzazi wa Gloria Shengena,mke wa Dennis Shengena .Pia marehemu ni dada wa Jackson na William Mollel .
Msiba huu ulitokea Jumatatu asubuhi Tanzania na Mazishi yatafanyika Jumamosi Feb 23 huko Arusha.
Gloria na Dennis Shengena wameondoka leo kuelekea Tanzania kuwahi mazishi.
Kama kawaida yetu,tunaombwa kujumuika na wenzetu na kuwasaidia kukamilisha taratibu na mahitaji ya msiba kipindi hiki kigumu.
Kama ungependa kuchangia gharama za msiba huu unaweza kufanya direct deposit kwenye :
Dennis & Gloria Shengena,
TCF Bank,
A/C #6441512262
Kwa mawasiliano zaidi unaweza kuwasiliana na wafuatao;-

Joe Twinawe-763-744-8594
Joel Mburu -952-217-0265
Peter Mutua -612-501-6465
Mollel Jackson 651-334-0163
Mollel William 651-338-9466
Peter Shengena 507-458-9364
 
Tafadhali wataarifu na  wengine pia!,Tunatanguliza shukrani.
 Kwa niaba ya familia ya Mollel na Shengena,
Ahsante,

No comments: