ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, February 23, 2013

MISA YA KUMBUKUMBU YA MZEE EDSON MWANDEMAN, SPRIGFIELD, MASSACHUSETTS

Mc Kawala Mgawe akiongea jambo kwenye chakula kilichoandaliwa na Watanzania waishio Springfield, Massachusetts na vitongoji vyake kwa ajili ya kumbukumbu ya Mzee Edson Mwandemani liyofanyika Jumamosi Feb 23, 2013 mjini hapo.
 Richard Mwandemni akitoa shukurani zake kwa wote waliofika kwenye misa ya kumbukumbu na baadae chakula kwa ajili ya baba yake Mzee Edson Mwandemani aliyefariki December 14, 2012 Massachusetts nchini Marekani na mazishi yake kufanyika Tanzania January 1, 2013 pamoja na mambo mengine Richard Mwandemani  amewashuru Watanzania wote Marekani na Tanzania hasa Massachusetts kwa ushirikiano waliomupa muda wote. 
Richard Mwandemani katika picha ya pamoja na wanae mapata Edward (kushoto) na Edson
Richard Mwandemani katika picha ya pamoja na marafiki zake 
Marafiki wa karibu na Raichard katika picha ya pamoja
Sham (shoto) na Diana katika picha ya pamoja
kwa picha zaidi bofya read more

No comments: