Waziri
wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka akizungumza na kuzindua wimbo
maalum wa NSSF uliotungwa na Wasanii hapa nchini wajiitao All
Stars,mbele ya wadau waliohudhuria mkutano wa tatu
wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza
leo Februari 13,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa
AICC,jijini Arusha.Kauli mbiu ya mkutano huo kwa mwaka huu ni Sekta ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia panda-Nini kifanyike.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau akifafanua jambo kwa umakini mbele ya Wadau zaidi ya 1000 kutoka sehemu mbalimbali ndani na nje ya Tanzania, kwenye mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaondelea hivi sasa kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha,ambapo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ni Sekta ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia panda-Nini kifanyike..

Mkurugenzi
wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Crenscentius Magori akifafanua jambo mapema leo asubuhi wakati mkutano wa tatu
wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza
leo Februari 13,ukiendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa
AICC,jijini Arusha.
Meneja
wa kanda na anaeshughulikia Idara mbalimbali za serikali kutoka
NSSF,Rehema Chuma akifafanua namna ya uendeshaji wa shirika hilo kwa wadau waliohudhuria mkutano wa tatu
wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza
leo Februari 13,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa
AICC,jijini Arusha.
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Kabwe akichangia moja ya mada zilizokuwa sikitolewa kwenye mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza leo Februari 13,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Harold Sungusia akichangia moja ya mada zilizokuwa sikitolewa kwenye mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza leo Februari 13,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Pichani ni Mwenyekiti wa wasataafu wa TAZARA,Injinia Mwl.Sango akitoa ushuhuda wake kuhusiana na namna shirika la NSSF lilivyowasaidia wastaafu wa shirika la TAZARA,kupitia mfuko wa pensheni na fao la kujitoa.
Sehemu ya Meza kuu ya mkutano huo.
Baadhi ya Wakurugenzi wa Mifuko ya Jamii nchini wakiwa kwenye mkutano huo.
Baadhi ya watendaji wakuu wa NSSF wakiwa mkutanoni.
Meneja Mahusiano wa PPF,Lulu Mengele na Meneja Mahusiano wa SSRA,Sarah Kibonde wakifuatilia yanayojiri ndani ya mkutano huo unaoendelea hivi sasa.
Sehemu ya Wabunge waliopo kwenye mkutano huo.
kwa picha zaidi bofya read more
Baadhi ya Wakurugenzi wa Mifuko ya Jamii nchini wakiwa kwenye mkutano huo.
Baadhi ya watendaji wakuu wa NSSF wakiwa mkutanoni.
Meneja Mahusiano wa PPF,Lulu Mengele na Meneja Mahusiano wa SSRA,Sarah Kibonde wakifuatilia yanayojiri ndani ya mkutano huo unaoendelea hivi sasa.
Mbunge wa jimbo la Mbeya Mjini (CHADEMA),Mh Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu akiwa sambamba na Mbunge wa Arumeru Mashariki,Mh Joshua Nasari (CHADEMA) na Wadau wengine wakifuatilia yanayojiri hivi sana kwenye mkutano wa NSSF.
Baadhi ya Wahariri wa vyombo vya habari mbalimbali wakifuatilia yanayojiri ndani ya mkutano wa NSS unaoendelea hivi sana ndani ya ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa
AICC,jijini Arusha.
Mbunge wa jimbo la Ludewa,Mkoani Njombe,Mh. Deo Filikunjombe (CCM) akiwa na baadhi ya Wabunge Wenzake wanaohudhuria mkutano huo wakifuatilia kwa makini yaliyokuwa yakijiri ndani ya mkutano huo ambao umewakutanisha wadau zaidi ya 1000 kutoka sehemu mbalimbali jijini Arusha.

Mwenyekiti wa kikao cha awamu ya kwanza cha Mkutano wa tatu
wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Bwa.Daudi Msangi akitoa utaratibu kwa Wanachama na wadau mbalimbali waliohudhuria mkutano huo unaoendelea ,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa
AICC,jijini Arusha,kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau akizungumza jambo na Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crenscentius Magori mapema leo asubuhi kabla ya kuanza kwa mkutano wa shirika hilo.
Wadau.
Wadau.
Mkutano ukiendelea.
Picha zote na Othman Michuzi
Picha zote na Othman Michuzi
No comments:
Post a Comment