Yusto Esiri |
Alifariki Jumatatu usiku kwa ugonjwa wa kisukari alichokuwa nacho kwa muda mrefu. Amefriki akiwa na umri wa miaka 71 kijijini kwake. Chanzo kilisema ingawa familia walikuwa wanaficha kuhusu maradhi mpaka mauti yalipomkuta ghafla
Miezi michache iliyopita, Dk Sid mwimbaji ni mwimbaji wa Nigeria na pia ni mwanachama wa Mavin rekodi, alimtambulisha Yusto Esiri kama baba yake. Dk Sid jina halisi ni Onoriode Esiri, yeye ni mtoto mdogo wa marehemu.
Kifo Yusto Esiri ni mshtuko mkubwa kwa kila mtu na familia na wa wapenzi wa film za kinigeria
No comments:
Post a Comment