ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, February 12, 2013

HAKIJATENGENEZWA NI MAAJABU TUU, WAPENDANAO MPO HAPO

Makepeace Island off Australia's Sunshine Coast is the perfect retreat for any romantic couple
Kisiwa hiki kinajulikana kwa jina la makepeace island kipo Australia. Nikisiwa maarufu sana hasa ifikapo siku ya wapendanayo. Kama unavyoona kina mchoro unaofanana na moyo kwaiyo watu upenda kwenda kutulia hapa na wapendwa wao ifikapo siku ya wapendanayo. Kisiwa hiki hakijatengenezwa bali ni mother nature. Labda utaipenda hii kwa siku kama hiyo ya malavidave.
 SASA MWONYESHE UNAJALI INGAWA SIKU ZOTE UNAMJALI, IFANYA SIKU HII IWE MAALUM

No comments: