Wednesday, February 27, 2013

NINA ULINZI TOSHA WA BASTOLA YANGU...." HII NI KAULI YA JACK CLIFF ALIPOWEKA PICHA YA BASTOLA YAKE

Do you wanna mess with Jackie aka Diva the Boss lady? Think again, lasivyo utaishia kifo kama cha mpenzi wake na Oscar Pistorius, Reeva Steenkamp.
Apparently the sexy model ambaye hivi karibuni alijikuta akipelekewa mahakamani kwa kumtandika chupa msichana mwingine, ana kitu cha mguu wa kuku, 9mm, pistol vyovyote utakavyopenda kuiita .
“This is for security purpose nat harmful to anyone looool,”Jackie ameandika. Tazama picha zingine za mrembo huyu.
Picha kwa hisani ya (Audiface)

No comments: