Wednesday, February 27, 2013

ALA CHOCOLATE ILI AWE UTAMU ZAIDI SASA APOTEZA MENO

CEO wa Endless Fame Films Wema Sepetu amelazimika kujisamilisha kwa daktari wa meno baada ya ulaji wa chocolate kumponza na hivyo kuozesha baadhi ya meno yake.
Kupitia Instagram, Miss Tanzania huyo wa zamani, ameshare picha akiwa kwenye clinic ya meno kung’oa jino lililokuwa likimsumbua.“Apparently I have 8 cavities…. oh god… does this mean no more chocolate for me,” ameandika. Kwa waliowahi kuumwa na jino wanaujua muziki wake,

2 comments:

Anonymous said...

Pole Wema. Unaweza kula chocolate cha maana piga mswaki vizuri na hasa kama unakula vitu vyenye sukari kama chocolate.

Anonymous said...

sasa misifa anataka hata akienda chooni aseme mtoto hakui huyu kujifanya utamaduni we wenzake kumbe mzaramu wa kijijini