Thursday, February 21, 2013

PICHA ZAIDI ZA MAZIKO YA PADRI EVARISTUS GABRIEL MUSHI, ZANZIBAR

Baadhi ya waumini wa kanisa katoliki wakiwa katika mazishi ya marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi,aliyezikwa leo katika viwanja vya kanisa Katoliki la Kitope,Wilaya ya Kaskazini B Unguja, ambae alifariki Jumapili Iliyopita kwa kupigwa risasi na watuwasiojukanwa.
Rais wa Zanbzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi Dkt,Ali Mohamed Shein,(katikati) akifuatana na Askofu waKanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar Augustino Shao, wakielekea katika Mazishi ya Padri Evaristus Gabriel Mushi,aliyezikwa katika viwanjavya kanisa la Kitope,Wilaya ya Kaskazini B Unguja
Vijana waumini wa Dini ya Kikiristo wakiteremsha jeneza lenye mwili wa marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi,katika kaburi alilozikwa leo katika viwanja vya kanisa la Katoliki la Kitope,Wilaya ya Kaskazini B Unguja,marehemu alifariki kwa kupigwa risasi Jumapili iliyopita na watu wasiojulikanwa
Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la TangaAntony Banzi,akiongoza sala wakati wa mazishi ya Marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi,aliyekufa kwa kupigwa risasi Jumapili Iliyopita na kuzikwa leo katika viwanja vya kanisa la Kitope,Wilaya ya kaskazini B Unguja leo
Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la ZanzibarAugustino Shao, akitia udongo katika kaburi la Marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi,aliyezikwa leo katika viwanja vya kanisa Katoliki la Kitope,Wilaya ya Kaskazini B Unguja
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Emanuel Nchimbiakitia udongo katika kaburi la Marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi,wakati wa mazishi yake yaliyofanyika leo katika viwanja vya kanisa la Kitope,Wilaya ya Kaskazini B Unguja
Rais wa Zanbzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohamed Shein,(katikati) akitia udongo katikakaburi la Marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi,wakati wa mazishi yake yaliyofanyika leo katika viwanja vya kanisa la Kitope,Wilaya yaKaskazini B Unguja
Waumini wa Dini ya Kikiristo wa Kanisa katoliki na wananchi wakifukia udongo katika kaburi la marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi,aliyezikwa leo katika viwanja vya kanisa Katoliki la Kitope,Wilaya ya Kaskazini B Unguja,ambae alifariki Jumapili Iliyopita kwa kupigwa risasi na watu wasiojukanwa.
ASkofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Muadham Policup Kadinari Pengo,kwa pamoja na maaskofu wengine wakichomeka Msalaba katika kaburi la marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi aliyezikwa leo katika viwanja vya kanisa Katoliki laKitope,Wilaya ya Kaskazini B Unguja,ambae alifariki Jumapili Iliyopita kwa kupigwa risasi na watu wasiojukanwa
Rais wa Zanbzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi Dkt,Ali Mohamed Shein,(katikati) akiweka shada la mauwa katika kaburi la Marehemu Padri Evaristus Gabriel Mushi,wakati wa mazishi yake yaliyofanyika leo katika viwanja vya kanisa la Kitope,Wilaya ya Kaskazini B Unguja.
[Picha na Ramadhan Othman,IKULU.]

No comments: