ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, February 24, 2013

PICHA ZINGINE KWENYE MISA YA KUMBUKUMBU YA MZEE MWANDEMANI

Watanzania wa Springfield, Massachusetts na vitongoji vyake wakipata picha ya pamoja na Rachard Mwandemani (mwenye kofia nyeusi) baada ya misa kwisha nje ya kanisa la Mt. Michael ilikofanyikia misa ya kumbukumbu ya Baba yake Richard, Mzee Edson Mwandemani aliyefariki December 14, 2012 hapo Springfield na mazishi kufanyika Tanzania January 1, 2013
Watanzania waliojumuika pamoja na Richard Mwandemani wakiingia ukumbi kupata chakulacha jioni.

Hapa ndipo kulikofanyikia chakula cha jioni baada ya misa


Watanzania wakiingia ukumbini
Watanzania waliojumuika pamoja na Richard Mwandemani wakisaidia kuingia na vyakula walivyopika
Watanzania wakiwa ndani ya ukumbi huku wengine nao wakiwa nje huku wakijiandaa kuingia
Mtoto David Mwakapusi akiombea chakula huku akiongozwa na Rehema Hiza

No comments: