Ni Bata mpaka kuku wanaona wivu Jumamosi Feb 23, 2013 wadau wa DC, New York City, Jersey City, Connecticut na Massachusetts wakila hepi kwenye Bash la siku ya kuzaliwa ya Abela iliyofanyikia Brooklyn, New York nchini Marekani.
Adela akielekea kukata keki
Ngola akiwa ameshikilia boks lenye keki
Adela akiangalia keki
Adela kiimbiwa wimbo wa siku ya kuzaliwa na marafiki zake akiwemo dada yake kutoka DC
Adela akizima mishumaa huku wengine wakiendelea kupata ukodak moment
Juu na chini Adela akipata picha na marafiki zake
kwa picha zaidi bofya read more
No comments:
Post a Comment