Vijana wa SKYLIGHT BAND Joniko Flower, Sony Masamba na Sam Mapenzi wakiporomosha sebene kwa mashabiki wao kwenye Show ya aina yake ambapo walitambulisha nyimbo yao mpya kwa mashabiki wao inayofahamika kama "Nasaka Dough".
Mashabiki wakiburudika na SKYLIGHT BAND...Njoo na wewe Ijumaa hii uburudike pia.
Uzao wa BSS Salma Yusuf akipagawisha mashabiki wa SKYLIGHT BAND na mduara (mambo ya pwani). Pichani juu na chini wake kwa waume wakiwa wamefurika kwenye dancing floor kuonyesha umahiri wao katika mduara.
Kwa raha ya mduara mpaka wengine wanalala chini na kuzungusha nyonga.
Hapo sasa twende kazi.....Martin Kadinda mzee wa Single Button naye yumo.
Kijana kasusiwa ahangaike nalo.
kwa picha zaidi bofya read more
Mbonie Masimba aksihow love na Blogger King Kif.
Joniko Flower, Salma Yusuf na Aneth Kushaba AK 47 wakiimba na kucheza Twist.....Chezea Twist wewe ni Balaaa....
Mashabiki wa SKYLIGHT BAND wakisakata Twist huku kijasho kikiwatiririka.
Utu uzima dawa tunajikumbushia enzi zetu....Wazazi wa Salma Yusufu wa SKYLIGHT BAND wakisakata muziki aina ya Twist uliokuwa ukiimbwa na Joniko Flower.
Mary Lukas akifanya yake kwa mashabiki wa SKYLIGHT BAND.
Mdau Eric Ndalu wakifanya nyao na Best Friend wake.
Mdau wa SKYLIGHT BAND almaarufu kama Amo Blaze akiimba Reggae sambamba na Sam Mapenzi Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Model Neema Mbuya akimtunza Sam Mapenzi baada ya kukunwa na uimbaji wa kijana huyo.
Model Neema Mbuya akitoka kumtumza Sam Mapenzi wa SKYLIGHT BAND.
Mwanamuziki Aneth Kushaba AK47 sambamba na wenzake wakiwarusha vilivyo mashabiki wa SKYLIGHT BAND kwenye kiota cha Thai Village jijini Dar.
Aneth Kushaba AK47 akiwarusha vilivyo mashabiki wa SKYLIGHT BAND kwenye kiota cha Thai Village jijini Dar.
Warembo wakijiachia kwa raha zao na burudani ya Skylight Band.
Warembo wa mujini Mbonie Masimba akishow love na Visoda wenzake ndani kiota cha Thai Village kushuhudia uzinduzi rasmi wa nyimbo mpya ya SKYLIGHT BAND inayofahamika kwa jina la " Nasaka Dhough" ambayo imepokewa kwa mikono miwili na mashabiki wa bendi hiyo.
Wadau wakishow some love.
Fans wa SKYLIGHT BAND wakishow love mbele ya Camera yetu.
Familia ya SKYLIGHT BAND ikiongozwa na Eddie Ndege (kushoto), Haki Ngowi ( wa tatu kushoto) na wadau wengine.
Aneth Kushaba AK47 wa SKYLIGHT BAND akishow love na Fans wake.
No comments:
Post a Comment