ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, February 16, 2013

TUNAPENDA KUWAALIKA KWENYE MISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MZEE EDSON MWANDEMANI

Ndugu wapendwa: Kwa niaba ya familia ya DJ Rich Maka, ndugu na marafiki zake tunapenda kuwaalika kwenye misa ya kumbukumbu ya marehemu mzee 
Edson Mwandemani itakayofanyika. 
Katika kanisa la Mtakatifu 
Michael 254 State Street, 
Springfield, Ma 01103 
toka saa tisa alasir
(3pm -4pm) 


na reception itafanyika St. 
Mark Armenian Church iliyoko 
Wilbraham Road, 
2427
Springfield, Ma 01129 


surtaday feb 23 saa kumi jioni. .
Mpaka saa nne usiku (4pm -10pm)

No comments: