Hapa valentine's day itageuka shubiri wenzio wakipata zawadi na maua wewe ndiyo kwanza unafikiria ukirudi nyumba hali ndiyo hii. Mapenzi ni kitu cha kukiangaria sana siyo wote wenye mahusiano wanawanapata kitu roho inapenda raha hasha. Wengi wao ni penzi kivuli na mimi nionekane nina mtu wakati usiku ukifika mambo ndiyo haya. Usione kunasmile ukajua na moyoni nako kunashine.
Habari ndiyo hii mapenzi hayo kila mtu kageukia kwake na macho kafunga usifikirie kasinzia hapa wala kalegesha macho tuu ili mradi usiku upite. Akiwa na marafiki kicheko lakini nyumba kunafukuta valentine's day hapa ni mama kamwaga mboga na baba kamwaga ugali kwahiyo mambo ni bila bila.
No comments:
Post a Comment