Advertisements

Tuesday, March 12, 2013

Abiria wa treni wakwama kutokana na mvua kusomba tuta la reli ktk eneo la Godegoge-Dodoma


Zaidi ya abiria 1,500 waliokuwa wakisafiri na treni ya abiria kutoka mikoa ya magharibi na kanda ya ziwa wamekwama kwa muda usiofahamika katika kituo cha treni cha Dodoma kufuatia tuta la reli katika eneo la Godegoge wilayani Mpwapwa kusombwa na maji ya mvua na kusababisha adha kubwa kwa abiria hao ambao wengi wao wana watoto wadogo na wagonjwa.

No comments: