Rapper kutoka Marekani ambae pia ni CEO wa CASH MONEY label, Birdman amenunua gari mpya aina ya Lamborgini Veneno yenye thamani ya dola za kimarekani $4.6 milioni.
Inasadikika kuwa kabla ya gari hii, gari zenye thamani zikiwa na mtindo kama huu zilikuwa ni Bugatti ambayo ina thamani ya dola za kimarekani $1.2 milioni, so to say Bugatti ina thamani mara nne ya gari hii huku ikitajwa kuwa ndio gari ya kifahari yenye thamani kubwa kabisa kwa sasa.
Check picha ya gari hilo hapa chini:…

1 comment:
Halafu baada ya miaka michache ijayo ANA-FILE BANKRUPTCY!!! wakati angekuwa mzungu fedha hiyo hiyo ingekuja kusaidia hata vizazi vyake vijavyo! kweli masikini akipata matako hulia mbwata!
Post a Comment