Advertisements

Tuesday, March 5, 2013

Jaguar Akanusha Kumsaidia Mwanasiasa Kifedha...

Msanii kutoka Kenya, Jaguar amekanusha kumsaidia mwanasiasa nchini Kenyakatika kampeni za uchaguzi mkuu. Jaguar ambae amekuwa named as one of theKenyan artists anaepata mkwanja mwingi through his music ukizungumzia track zake kama Kigeugeu na ya sasa Matapeli alisadikika kumsaidia mmoja wa wanasiasa katika uchaguzi mkuu huu ulioisha jana...

Jaguar ambae pia amekuwa kwenye beef ya chini chini na mwanamuziki mwingine kutoka nchini humo, Prezzo pia aliripotiwa kujitoa kushiriki katika chama cha CORD ikifahamika kuwa ni sababu ya Prezzo ambabe ni kiongozi katika chama hicho.

No comments: